Print this page

Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Watawa

By February 09, 2024 85 0

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwabariki Watawa wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Watawa iliyoadhimishwa katika Parokia ya Kristo Mfalme – Tabata, jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet