Print this page

Padri Daniel Kilala, akiwabariki Viongozi wapya wa Zaka

By February 09, 2024 195 0

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Daniel Kilala, akiwabariki Viongozi wapya wa Zaka, baada ya kuwaapisha wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika, iliyoadhimishwa parokiani hapo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet