Print this page

Parokia ya Mtakatifu Polycarp Askofu na Shahidi, Kilamba

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (mwenye kofia ya Kiaskofu), Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Polycarp Askofu na Shahidi, Kilamba, Padri Timothy Nyasulu Maganga, na Padri Frank Mtavangu (wa kwanza kulia), wakiwa katika maandamano ya kutoka kanisani baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya Matawi parokiani hapo. (Picha na Mathayo Kijazi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet