Print this page

Paroko wa Parokia ya Familia Takatifu, Mburahati, Sikukuu ya Pasaka

Paroko wa Parokia ya Familia Takatifu, Mburahati, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vitalis Kassembo (katikati mwenye kanzu nyeusi), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Halmashauri ya Walei wa Parokia hiyo, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Pasaka iliyoadhimishwa Jumapili ya Pasaka parokiani hapo. (Picha zote na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet