Print this page

Viongozi wa Halmashauri ya Walei wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima, Kimara- Korogwe

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Halmashauri ya Walei wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima, Kimara- Korogwe, jimboni humo baada ya Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika parokiani hapo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet