Print this page

Wafanyakazi wa Tumaini Media kutembelea Makaburi

Wafanyakazi wa Tumaini Media wakifanya Ibada fupi  kwenye Kaburi la aliyekuwa Mkurugenzi wa Tumaini Media, Padri Paul Peter Haule, katika eneo la Makaburi ya Mapadri yaliyoko kwenye Kituo cha Hija Pugu, wakati wa ziara yao ya kiroho ya kutembelea makaburi ya waliokuwa wafanyakazi wenzao.

Rate this item
(0 votes)
Japhet