Print this page

Gina wa Gina; Gwiji la muziki aliyejifunza kwaya

Dar es Salaam

Na Remigius Mmavele

Mwanamuziki Jean – Pierre Gina wa Gina ni mtoto wa Corneille EFONGE mwenye asili ya MONGO, kutoka mkoa wa Equateur na wa Élise LISIMO, mwenye asili ya Mongando (familia ya Justin Disasi),

Jean-Pierre EFONGE akiwa mdogo alionyesha ishara za uwezo mkubwa wa muziki. Alizaliwa Mei 13, 1953 katika Jiji la Kinshasa.
Akiwa na chombo chenye nguvu cha kuimba, Efonge alijiunga na Kwaya ya Parokia ya Mtakatifu Paulo, katika mji wa Barumbu mjini Kinshasa akiwa na umri mdogo sana.

Rate this item
(0 votes)
Japhet