Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Michezo

DAR ES SALAAM Na Nicholas Kilowoko Kocha wa vijana wa klabu ya soka ya Simba, John Bocco, ameelezea mikakati yake mipya ya kuisaidia timu yao…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Mkuu wa Kitengo cha Habari cha klabu ya soka ya Azam FC, Thabit Zacharia maarufu kama Zaka Zakazi, amesema…
London, UingerezaMeneja wa Arsenal Mikel Arteta, amekiri kuwa watakuwa wakiangalia kwa makini usajili unaowezekana, wakati wa dirisha la uhamisho la Januari.The Gunners walitumia takribani pauni…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Mchezo wa skwashi ulianzishwa karne ya 19 nchini Uingereza. Ulianza kama mabadiliko ya mchezo wa racquetball, na kuendelezwa katika…
Mwanza Na Paul Charles Mabuga Kichapo cha 2-0 kutoka kwa Azam FC, si tu kwamba kimepunguza kasi ya Simba kwenye mbio za ubingwa, bali kimetupa…
New York, MarekaniMfululizo wa ajabu wa LeBron James wa michezo 1,297 ya NBA ya msimu wa kawaida, akifunga pointi 10 au zaidi ulimalizika huku Los…
London, UingerezaTottenham wanasema wanachunguza madai kwamba kiungo Yves Bissouma, alirekodiwa akivuta nitrous oxide.Gazeti la The Sun lilichapisha picha, ambazo lilidai zilimuonesha mchezaji huyo wa kimataifa…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Singida Black Stars, imeandaa mkakati wa kuhakikisha katika kipindi hiki cha mapumziko, wanafanya maboresho machache ambayo yalikuwa ndani ya…
DAR ES SALAAM Na Nicolaus Kilowoko Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Yanga, Pedro Goncalves, amefunguka kuhusu umuhimu wa kufanya usajili, kuelekea katika dirisha…
Na Arone Mpanduka Mchezo wa kuchapana fimbo ni aina ya mchezo wa jadi, unaopatikana katika tamaduni nyingi za Kiafrika, ikiwemo Afrika Mashariki hasa Somalia (Istunka),…
Page 1 of 15