Hati ya Milano 313 BK:
Sasa Konstantino alianza kuwasaidia Wakristo na kukuza dini yao kinyume na siasa za nyuma za dola ya Kirumi. Wakati huo Maximinus Daia, alishaanza kugombana na msaidizi wake aliyemweka Licinius.
Konstantino alifanya urafiki na Licinius na kumwozesha dada yake Konstantia. Pamoja walitengeneza hati muhimu sana ya kukubali dini zote. Katika hati hii ilikubalika kwamba: