Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Nyumbani

Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu amezindua Warsha kwa Waamini wote wa…
Dar es Salaam Na Laura Mwakalunde Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amewasihi Waamini kuacha kuzificha…
Morogoro Na Angela Kibwana Kanisa Katoliki limehitimisha mfungo maalumu kote nchini, ambapo Wakatoliki walifunga, kuabudu Ekaristi Takatifu na kuiombea nchi haki na amani, kuelekea Uchaguzi…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelipongeza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kwa kuongezeka kwa thamani ya soko…
Ahadi ya serikali ya kufikisha umeme wa gridi ya taifa katika wilaya zote za Mkoa wa Kagera, imetekelezwa baada ya kusaini mikataba ya ujenzi wa…
Askofu wa Jimbo Katoliki la Kahama Mhashamu Christopher Nkoronko, (pichani) amewataka Waimarishwa kuwa tofauti na wengine hasa wanapokuwa kanisani, nyumbani au shuleni.Alisema hayo hivi karibuni,…
Dar es Salaam Na Mathayo Kijazi Waandishi wa Habari wametakiwa kuwa wabunifu na wenye kujitolea kufanya vitu vya tofauti katika kazi zao, ili waweze kuzalisha…
Mtwara Na Mwandishi wetu Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Mhashamu Michael Msonganzila amewataka wanawake kuwa wanyenyekevu kama Mama Bikira Maria.Alisema hayo wakati wa Adhimisho…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Wazazi wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Maparoko katika parokia zao, ili watoto wao waendelee na mafundisho ya kuwajengwa katika imani…
VATICAN CITY Hayati Baba Mtakatifu Fransisko ameacha wosia wake wa kiroho kwa Ulimwengu akisema kwamba, siku zote amekabidhi maisha na huduma yake ya Kipadri na…
Page 1 of 17