Askofu wa Jimbo Katoliki la Zanzibar Mhashamu Augustino Shao akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara mmoja wa vijana wa Parokia ya Mtakatifu Teresa wa Calcutta, Kivule, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. Katikati ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Deogratias Chale.