Print this page

Yanga yawacharukia wanaoiponda

Dar es Salaam

Na Nicholas Kilowoko

Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga, umewashukia wadau wanaoendelea kupotosha taarifa sahihi za klabu yao, hasa kwa wachezaji wao na kueleza kuwa, wao ndio watoa taarifa sahihi za klabu hiyo.
Kupitia kwa Meneja habari na mawasiliano wa klabu ya soka ya Yanga, Ally Kamwe, alisema kuwa kumekuwa na taarifa zinazosambazwa na watu mbalimbali, ambazo sio za kweli na watu ambao hawana mapenzi mema na klabu hiyo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet