Padri Octvian Linuma wa Jimbo Katoliki la Mahenge (mwenye suti), akiwasili katika viwanja vya Shule ya St. Rosalia, Kinyerezi, jijini Dar es Salaam tayari kwa adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani ya Jubilei ya Miaka 50 ya Upadri wake. Kushoto kwa Padri Linuma ni Mkurugenzi wa shule hiyo, Paulo Mfungahema.