Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiwa katika picha ya pamoja na Kamati Tendaji ya Parokia ya Mtakatifu Cesilia, Kisarawe II, jimboni humo.…
Waamini wa Parokia ya Bikira Mama wa Kanisa, Goba, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Krismas iliyoadhimishwa hapo…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akibariki matoleo wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Noeli katika Parokia ya Mtakatifu Agustino…
Padri Denis Kunambi, Paroko wa Parokia ya Roho Mtakatifu Segerea, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam akikabidhi vitendea kazi kwa Kamati Tendaji ya Kigango cha Kuzaliwa Bikira Maria, Kisukuru,…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Stephano Musomba -OSA, akimbatiza mtoto Kiernani James katika Parokia ya Mtakatifu Boniventura, Kinyerezi jimboni humo wakati wa Adhimisho la…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiumwagia maji mti baada ya kuupanda katika Parokia ya Mtakatifu Cesilia, Kisarawe II, Kigamboni jimboni humo. Wengine…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya…
Waamini kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaa, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 na 50 ya Upadri, iliyoadhimishwa…
Paroko wa Parokia ya Yohane wa Mungu – Yombo Vituka, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Patrick Bwakila akibariki matoleo wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika,…
Page 1 of 18