Print this page

Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano

By August 11, 2023 2134 0

Viongozi wa Halmashauri ya Walei na baadhi ya Waamini wa Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kutabaruku kanisa na Altare, iliyokwenda sanjari na kutoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara parokiani hapo.

Rate this item
(1 Vote)
Japhet