Print this page

Dekania ya Mtakatifu Gaspari, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam

By January 19, 2024 828 0

Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Gaspari, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, ambaye pia Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli – Bunju, jimboni humo, Padri Dominic Somola (kushoto), akiwaonyesha Mapadri wenzake maendeleo ya ujenzi wa kanisa jipya la parokia hiyo. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(1 Vote)
Japhet