Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi – Pugu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika.