Waamini kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani kwa Miaka 30 ya Redio Tumaini, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Familia Takatifu – Mburahati, jimboni humo.
(Picha na Mathayo Kijazi)