Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakitoa michango yao parokiani hapo kwa ajili ya kuitegemeza Tumaini Media, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika.