Print this page

Wazee na Wastaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam

Msimamizi wa Kituo cha kulelea watoto (‘Children’s Home, Msimbazi’), Sista Stella Zavery akipokea misaada kutoka kwa Wazee na Wastaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam walipofranya matendo ya huruma katika kituo hicho kilichopo Parokia ya Msimbazi, jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet