Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akipokea zawadi kutoka kwa Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Maria De Mathias, Mivumoni, Padri Edwin Kigomba wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti ya Kipaimara iliyoadhimishwa parokiani hapo hivi karibuni.