Print this page

Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Bunju

Waamini wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Bunju, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali katika viwanja vya Parokia hiyo wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sikukuu ya Ekaristi Takatifu iliyoadhimishwa parokiani hapo hivi karibuni.

Rate this item
(0 votes)
Japhet