Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (katikati mwenye Fimbo ya Kichungaji) na Mapadri, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Mtakatifu Maria De Mathias, Mivumoni, jimboni humo.