Print this page

Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri – Chang’ombe

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri, Viongozi wa Kamati Tendaji pamoja na Waamini wengine baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti ya Kipaimara kwa vijana 98 katika Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri – Chang’ombe, jimboni humo. Kulia kwa Askofu, ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Novatus Mbaula. (Picha na Mathayo Kijazi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet