Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akiwapatia vijana vyeti baada ya kupokea Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, katika Adhimisho la Misa Takatifu iliyofanyika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, Sinza jijini Dar es Salaam.