Viongozi na waamini wa Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, Sinza Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara iliyofanyika hivi kalibuni parokiani hapo.