Print this page

Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Parokia ya Mtakatifu Augustino, Salasala

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, akiwa na Mapadri katika picha ya pamoja na vijana 153 waliopata Sakramenti Takatifu ya Kipaimara iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Augustino, Salasala jimboni humo, baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara. Kulia kwa Kardinali ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Peter Assenga.

Rate this item
(0 votes)
Japhet