Print this page

Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kristo Mfalme – Tabata

By January 31, 2025 158 0

Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kristo Mfalme – Tabata, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Bonaventure Kisoka akizindua mashine ya mazoezi iliyonunuliwa na Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) wa Parokia hiyo wakati ya Sherehe ya WAWATA Day kiparokia. (Picha na Yohana Kasosi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet