Print this page

Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA) Parokia ya Mtakatifu Nicholaus Tolentino, Msingwa

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, akiwa katika picha ya pamoja na Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA) Parokia ya Mtakatifu Nicholaus Tolentino, Msingwa jimboni humo. Wengine ni Mapadri wanaofanya Utume parokiani hapo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet