Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akipokea Baraka ya Kwanza kutoka kwa Padri mpya Oresto Kapugi wa Shirika la Mungu Mwokozi (SDS), wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Daraja la Upadri iliyoadhimishwa katika Parokia ya Bikira Maria Nyota wa Bahari, Kisiju Jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)