Wanajubilei wa Miaka 50 na 25 ya Upadri wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani iliyoadhimishwa katika Parokia ya Bikira Maria wa Fatima, Msimbazi Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. Misa hiyo iliongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo hilo, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwaichi. (Picha na Yohana Kasosi)