Print this page

Mahafali ya 20 ya Darasa la Saba ya Shule ya Msingi Kristo Mfalme

By October 03, 2025 195 0

Mgeni rasmi Sarifrius Mligo akimkabidhi cheti Innocent Kachelewa, katika Mahafali ya 20 ya Darasa la Saba ya Shule ya Msingi Kristo Mfalme – Tabata, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, iliyofanyika katika ukumbi wa Parokia Kristo Mfalme – Tabata. (Picha na Mathayo Kijazi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet