Print this page

Kard. Pengo Parokia ya Mt. Yakobo Mkuu-Mtume, Mabwepande

By November 07, 2025 32 0

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mkuu-Mtume, Mabwepande jimboni humo. Wa tatu kulia ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Thomas Mtei na kushoto ni Paroko Msaidizi, Padri Dickson Sambala.

Rate this item
(0 votes)
Japhet