Print this page

Waimarishwa Parokia ya Mt. Toma – Muungano, Jimbo Katoliki la Bagamoyo

By November 07, 2025 37 0

Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Toma – Muungano, Jimbo Katoliki la Bagamoyo, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo, iliyoadhimishwa hivi karibuni parokiani hapo. (Picha na Mathayo Kijazi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet