Print this page

Misa Takatifu ya Sherehe ya Watoto Mashahidi

Watoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Watoto Mashahidi iliyofanyika katika viwanja vya Parokia ya Kristo Mfalme, Tabata jimboni humo hivi karibuni.

Rate this item
(0 votes)
Japhet