Print this page

Wanakwaya wa Kwaya ya UKWAKATA Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam

Wanakwaya wa Kwaya ya UKWAKATA Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiimba wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatatu ya Pasaka, Kijimbo iliyoadhimishwa katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu - Manzese jimboni humo. Wengine ni Waamini walioshiriki Adhimisho hilo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet