Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu-Kilimahewa, Salasala Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Mick Mbuku (wa pili kulia) akiwa na Paroko wa Parokia ya Itimbya Jimbo Katoliki la Kahama, Padri Philipo Sungwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Walei Parokia baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika iliyoadhimishwa parokiani Kilimahewa.