Print this page

Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume, Bahari Beach

By August 11, 2023 1003 0

Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume, Bahari Beach, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kutoa Sakramenti ya Kipaimara iliyofanyika hivi karibuni parokiani hapo.

Rate this item
(0 votes)
Japhet