Print this page

Mhashamu Vincent Mpwaji

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Mtakatifu Thomas Mtume, Vigozi, baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara iliyofanyika parokiani hapo. Kushoto kwa Askofu ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Yohana Marunda.

Rate this item
(0 votes)
Japhet