Print this page

Dekano wa Dekania ya Kibaha, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Thomas Mtei

Dekano wa Dekania ya Kibaha, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Thomas Mtei (katikati) akisema neno kwa Wanakwaya wa Kwaya ya Mtakatifu Petro, Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mkuu Mtume, Mabwepande kabla ya Mgeni Rasmi kuzindua albam ya kwanza kwa Kwaya hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya parokia. 

Rate this item
(0 votes)
Japhet