Vijana Waimarishwa wa Parokia ya Mtakatifu Monika, Matosa, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika maandamano kuelekea kanisani kwa Adhimisho la Misa Takatifu ya kupokea Sakramenti ya Kipaimara, iliyofanyika parokiani hapo.