Print this page

Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, Kawe

Vijana Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Mikaeli Malaika Mkuu, Kawe Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakiwa katika maandamano kuingia kanisani kwa adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara chao iliyofanyika hivi karibuni. 

Rate this item
(0 votes)
Japhet