Print this page

Maziko marehemu Padri Herman Kachema

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Vincent Mpwaji, akibariki sanduku lililobeba mwili wa marehemu Padri Herman Kachema wa Jimbo Katoliki la Same, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumwombea Padri huyo, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Maria Immakulata - Upanga, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. (Picha na Mathayo Kijazi)

Rate this item
(0 votes)
Japhet