Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

ASMARA, Eritrea Kanisa nchini Ethiopia na Eritrea, limeadhimisha Jubilei ya Miaka 50, ya kuinuliwa hadi utakatifu wa Mtakatifu Justin De Jacobis, kwa Misa Takatifu ya…
NAIROBI, Kenya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kutoka Taasisi 26 za Elimu ya Juu nchini Kenya, wamepewa ujuzi unaojumuisha ubora wa kiakili na huduma ya kujitolea,…
VATICAN CITY, Vatican Katibu Mkuu wa Vatican, Mwadhama Pietro Kardinali Parolin, ametaka ushiriki wa Marekani na jukumu kubwa kwa Ulaya, katika juhudi za kukomesha mzozo…
VATICANCITY, Vatican Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Baba Mtakatifu Leo XIV, anatarajia kutembelea na kuzindua sehemu iliyoanzishwa kwa matakwa ya hayati Papa Fransisko, sanjari na…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Leo XIV, hivi karibuni amekutana na wahudumu wa altareni wapatao 360 kutoka Ufaransa, katika fursa ya hija yao jijini Roma,…
NAIROBI, Kenya Katibu Mkuu wa Chama cha Mabaraza ya Maaskofu Wanachama Afrika Mashariki (AMECEA), Padri Anthony Makunde wakati wa uzinduzi wa Sera ya Mawasiliano ya…
NAIROBI, Kenya Chama cha Wanachama wa Mabaraza ya Maaskofu Afrika Mashariki (AMECEA), kimezindua Sera yake ya Mawasiliano na kuzindua Programu mpya ya redio ya kidijitali.Afisa…
VATICANCITY, Vatican Kiongozi wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni, Baba Mtakatifu Leo XIV, amesema kuwa Ekaristi ni Sakramenti ya upendo, zawadi na sadaka ya Kristo Yesu msalabani.Papa…
VATICAN CITY-VaticanMaadhimisho ya kumtangaza Mwenyeheri Carlo Acutis kuwa Mtakatifu yamesitishwa kufuatia kifo cha Papa Fransisko.Maadhimisho hayo yaliyokuwa yafanyike Dominika ya Aprili 27, mwaka huu yamesitishwa…
VATICAN City Mkutano Mkuu wa kwanza wa Makardinali umeanza Aprili 22 mwaka huu, ikiwa ni siku moja baada ya kifo cha Baba Mtakatifu Fransisko.Mkutano huo…
Page 1 of 7