Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Mgeni rasmi Sarifrius Mligo akimkabidhi cheti Innocent Kachelewa, katika Mahafali ya 20 ya Darasa la Saba ya Shule ya Msingi Kristo Mfalme – Tabata, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es…
Wanajubilei wa Miaka 50 na 25 ya Upadri wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani iliyoadhimishwa katika Parokia ya Bikira Maria wa Fatima, Msimbazi…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akipokea Baraka ya Kwanza kutoka kwa Padri mpya Oresto Kapugi wa Shirika la Mungu Mwokozi (SDS), wakati…
Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Kalmeri Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Padri Dominic Somola akiwa amebeba Monstranti yenye Ekaristi Takatifu, wakati wa maandamano ya Ekaristi katika Parokia…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akiwa na Mapadri na Viongozi wa UKWAKATA wa Jimbo baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Agostino Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Peter Assenga, akiwa katika picha ya pamoja na Watawa wa Kike, Viongozi wa Kamati Tendaji…
Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Thomas More, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Romwald Mukandala ambaye pia ni Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Kizito Kilongawima, jimboni humo akiwa…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mkuu Mtume – Kijitonyama, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika iliyoadhimishwa parokiani hapo hivi karibuni.
Mapadri na Viongozi wa Halmashauri ya Walei kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakifurahia jambo wakati wa mkutano wao, uliofanyika katika viwanja vya Kituo cha…
Page 1 of 24