Na Dkt. Nkwabi Sabasaba ILIPOISHIAMAISHA YA KAZI YA NDANI:Hii ni nguvu yako ya ndani kama vile hamasa; hisia; imani; na unajisikiaje furaha yako. Maisha ya…
Na Arone Mpanduka Hivi karibuni tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) likimtimua kocha wa timu ya taifa (Taifa Stars), Kim Poulsen, baada ya…
Baba Mtakatifu Fransisko (kushoto) akisalimiana na Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI wakati Papa alipomtembelea Mstaafu huyo katika makazi yake, akiambatana na Makardinali wapya. Vatican City…
DAR ES SALAAM Na John KimweriAskofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, amewataka waamini kutoa kipaumbele na kuwakumbuka…
Ujenzi wa Kituo cha Afya cha kisasa katika Kata ya Lukobe, Mkoani Morogoro ukiendelea. MOROGORO Na Angela Kibwana Serikari ya Tanzania imetoa Shilingi milioni 500/-…
Nairobi, KenyaMwendesha baiskeli wa Kenya Suleiman Kangangi amefariki dunia kufuatia ajali ya mwendo kasi katika mbio za magari nchini Marekani siku ya Jumamosi.Mchezaji huyo mwenye…
Kamati ya Uongozi wa Kitaifa ya Kushughulikia Mambo ya Kitume iliyoteuliwa na Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Ethiopia, ikiwa katika picha ya pamoja. ADDIS ABABA,…
GULU, UgandaMaandalizi ya kutangazwa Padri Joseph Ambrozoli kuwa Mwenyeheri yanaendelea vizuri, tukio litakalofanyika wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu itakayofanyika Jimbo Kuu Katoliki la Gulu,…
DAR ES SALAAM Na Nicolaus Kilowoko Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mecky Mexime amefunguka kuwa kwa sasa Watanzania wanapaswa kuganga…