Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Padri Andreas Chitanda Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Malkia-Luagala Jimbo Katoliki la Mtwara, akibariki kinanda kipya cha Kigango cha Kutukuka kwa Msalaba-Lyenje jimboni humo, wakati wa Adhimisho la Misa…
Waimarishwa wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wa Parokia ya Mtakatifu Toma – Muungano, Jimbo Katoliki la Bagamoyo, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo, iliyoadhimishwa hivi karibuni parokiani…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Mtakatifu Yakobo…
Mgeni rasmi Sarifrius Mligo akimkabidhi cheti Innocent Kachelewa, katika Mahafali ya 20 ya Darasa la Saba ya Shule ya Msingi Kristo Mfalme – Tabata, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es…
Wanajubilei wa Miaka 50 na 25 ya Upadri wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani iliyoadhimishwa katika Parokia ya Bikira Maria wa Fatima, Msimbazi…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akipokea Baraka ya Kwanza kutoka kwa Padri mpya Oresto Kapugi wa Shirika la Mungu Mwokozi (SDS), wakati…
Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Kalmeri Bunju, Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Padri Dominic Somola akiwa amebeba Monstranti yenye Ekaristi Takatifu, wakati wa maandamano ya Ekaristi katika Parokia…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akiwa na Mapadri na Viongozi wa UKWAKATA wa Jimbo baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Agostino Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Peter Assenga, akiwa katika picha ya pamoja na Watawa wa Kike, Viongozi wa Kamati Tendaji…
Page 1 of 21