Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Wakristo wapewa siri kumkabili shetani

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akibariki vipaji wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara katika Parokia ya Mtakatifu Maurus - Kurasini, jimboni humo. Kulia ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Valentino Tarimo SDS. (Picha na Mathayo Kijazi) Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akibariki vipaji wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara katika Parokia ya Mtakatifu Maurus - Kurasini, jimboni humo. Kulia ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Valentino Tarimo SDS. (Picha na Mathayo Kijazi)

Dar es Salaam

Na Mathayo Kijazi

Wakristo wametakiwa kuwa na misalaba katika nyumba zao, iwasaidie kumshinda shetani pale anapowakaribia.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, alitoa siri hiyo hivi karibuni wakati akitoa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika, iliyokwenda sanjari na utoaji wa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa vijana 52, katika Parokia ya Mtakatifu Maurus - Kurasini, jijini Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.