Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Vatican yatoa suluhisho Ukraine

Katibu Mkuu wa Vatican, Mwadhama Pietro Kardinali Parolin. Katibu Mkuu wa Vatican, Mwadhama Pietro Kardinali Parolin.

VATICAN CITY, Vatican

Katibu Mkuu wa Vatican, Mwadhama Pietro Kardinali Parolin, ametaka ushiriki wa Marekani na jukumu kubwa kwa Ulaya, katika juhudi za kukomesha mzozo wa Ukraine, akisisitiza kwamba China pia ina neno la kusema kwa ajili ya amani.
Aliyasema hayo hivi karibuni, aliposhiriki katika Hospitali ya Watoto ya Bambino Gesù, akiashiria kumbukumbu ya miaka 40 ya kutambuliwa kwake, kama Taasisi ya Kisayansi ya Kulazwa Hospitalini na Matibabu.
Akizungumzia mkutano na Waziri Mkuu wa Hungaria, Viktor Orbán, aliuelezea kama majadiliano mazuri, na kwamba wanajaribu kuleta misimamo yao karibu zaidi.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.