Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Mashabiki Taifa Stars waivamia CAF

Kiungo wa Taifa Stars Feisal Salum (kulia) akimlalamikia Mwamuzi Boubou Traore wakati wa mchezo dhidi ya Morocco. Kiungo wa Taifa Stars Feisal Salum (kulia) akimlalamikia Mwamuzi Boubou Traore wakati wa mchezo dhidi ya Morocco.

DAR ES SALAAM

Na Mwandishi wetu

Kufuatia timu ya taifa, Taifa Stars, kuondoshwa katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), Watanzania wengi ambao ni mashabiki wa soka, wameamua kuzivamia kurasa za mitandao ya kijamii, zilizo chini ya Shirikisho la soka Afrika CAF, na kurusha maneno makali.
Stars iliondoshwa mashindanoni Januari 4 mwaka huu, kwa kuchapwa na Morocco bao 1-0, huku mwamuzi Boubou Traore kutoka nchini Mali, akionekana kuinyonga Tanzania kupitia maamuzi yake mabovu, ikiwemo kunyimwa haki ya kupiga pigo la penati, katika dakika za mwisho za mchezo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.